Wajasiriamali mbalimbali kisiwani pemba wakipata mafunzo ya usindikaji wa matunda kutoka kwa Mtaalam akitowa mafunzo hayo kwa wajasiriamali hao katika ukumbi wa Chuvu Wawi Pemba.
Wajasiriamali mbali mbali
Kisiwani Pemba, wakishiriki katika mafunzo ya usindikaji wa zao la Tungele ,
iliowashirikiosha Wajasiriamali mbalimbali wa kisiwani Pemba walipata mafunzo
hayo kwa vitendo kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika mafunzo hayo
yaliofanyika katika ukumbi wa uchuvi wawi (Picha na Meibaku Molel TSJ Pemba)
No comments:
Post a Comment