Shamra shamra wakati akiwasili Mgombea wa nafasi
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Mnazi mmoja, Mkoa
wa Mjini Magharibi tarehe 24 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Zanzibar katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja, Mkoa
wa Mjini Magharibi tarehe 24 Oktoba, 2025.








.jpeg)

No comments:
Post a Comment