Habari za Punde

Ufungaji wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Chumbuni Zanzibar Viwanja vya Avenja

Shamrashamra za ufungaji wa mkutano ya Kampeni wa Chama Cha Mapiduzi (CCM) za Ubunge,Uwakilishi na Udiwani Jimbo la Chumbuni Zanzibar , kwa onesho la Utamaduni wa Zanzibar, ufungaji huo wa mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa Avenja  leo 25-10-2025.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.