Habari za Punde

Mkutano wa Ufungaji wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar wa Chama Cha ADC Mhe.Hamad Rashid Uliyofanyika Viwanja vya Kibandamaiti Wilaya ya Mjini Unguja

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa  tiketi ya Chama Cha ADC Mhe.Hamad Rashid Mohammed akisalimia na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Kibandamaiti Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kuhitimisha mikutano yake ya kampeni kutangaza Sera za Chama chake kwa Wananchi ili kupata ridhaa chukaguliwa kuiongoza Zanzibar.
























No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.