Msanii wa Bongo Fleva Nandy akiburudisha kwa wimbo wake wa kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa uongozi wake imara kuiongoza Zanzibar kwa kipindi cha miaka mitano, akiwa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa mkutano wa kufunga Kampeni za CCM uliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo 26-10-2025.
TTCL YAZINDUA KIFURUSHI CHA HUDUMA MLANGONI MWAKO
-
Na Mwandishi Wetu
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua kifurushi cha huduma ya
Faiba Mlangoni kwako kwa ajili ya kumuwezesha mteja kupata hud...
1 hour ago







No comments:
Post a Comment