Shamrashamra za ufungaji wa mkutano ya Kampeni wa Chama Cha Mapiduzi (CCM) za Ubunge,Uwakilishi na Udiwani Jimbo la Chumbuni Zanzibar , kwa onesho la Utamaduni wa Zanzibar, ufungaji huo wa mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa Avenja leo 25-10-2025.
TARURA Kisarawe Yaendelea Kuboresha Miundombinu ya Barabara Kuimarisha
Huduma kwa Wananchi
-
Na Miraji Msala, Kisarawe – Pwani
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Kisarawe mkoani
Pwani umeendelea kuboresha miundombinu ya bar...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment