Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha ADC Mhe.Hamad Rashid Mohammed akisalimia na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Kibandamaiti Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kuhitimisha mikutano yake ya kampeni kutangaza Sera za Chama chake kwa Wananchi ili kupata ridhaa chukaguliwa kuiongoza Zanzibar.














No comments:
Post a Comment