Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona COVID -19 kuchukua tahadhari za mara kwa mara kuosha mikono yetu kwa sabuni na maji yanayochurizika au kutumia Sanitaiza ili kujikinga na maambukizo hayo. Kama inavyoonekana Kijana huyu akiwa katika zoezi la kuosha mikono yake akiwa katika matembezi yake mtaa wa mji mkongwe eneo shangani katika moja ya maduka katika mtaa huo.
No comments:
Post a Comment