Habari za Punde

Zanzinews.com Inawatakiwa Waumuni Wote wa Dini ya Kiislam Duniani Ramadhan Kareem.

Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews.com inawatakila Waislam wote Duniani Kheri ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Na kufuata maelezo ya Waataalam wa Afya katika kujikinga na janga la Maradhi ya COVID -19 , kuepusha maambukizi na kutoka katika mikusanyiko isiyokuwa na ulazima  na kuacha safari zisizo na ulasima ili kujiepusha ma maambukizo ya COVID-19.

Tuzingatie kuosha mikono yetu kwa maji safi ya kutiroroka kwa sabuni  au kutumia vitakaso vya mikono.
Kinga Bora Kuliko Tiba Tufuate..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.