Habari za Punde

Eneo la Jipya la Wafanyabiashara Mbalimbali Katika Eneo la Kijangwani Jijini Zanzibar Likiwa na Miundombinu ya Kujikinga na Corona. Mu

Wananchi wanaofika katika eneo la biashara mbalimbali Kijangwani Jijini Zanzibar wanatakiwa kuna mikono kwa sabuni na maji ya kuchurizika kabla ya kuingia katika eneo hilo kupata mahitaji yao.
Wananchi wa Jijini la Zanzibar katika kipindi hichi cha Kumi la Mwisho la Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji ya Watoto wao na Maandalizi ya Sikukuu ya Eid Fitry inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii kutegemea kuandama kwa mwezi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.