Menu

Saturday, May 30, 2020

Muonekano wa Jengo Jipya la ZURA Eneo la Maisra Suleiman Jijini Zanzibar.

Muonekano wa kupendeza na kuvutiwa likioneka jengo Jipya la ZURA lilioko katika eneo la Maisara Suleiman Jijini Zanzibar. kama linavyoonekana wakati wa usiku likiwa likipendeza, linatarajiwa kuaza kutumia katika mwezi wa Juni 2020.  

No comments:

Post a Comment