Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, kutoka kushoto ni Mbunge wa Lulindi Jerome Bwanausi na Mbunge wa Chemba Juma Nkamia, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Korogwe Mjini, Mary Chatanda, Bungeni jijini Dodoma, Juni, 8, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.