Habari za Punde

MJUMBE WA NEC TAIFA NA RAIS APOKEA MWANACHAMA MPYA KUTOKA ACT WAZALENDO

Aliyekuwa mjumbe wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Samora Julius Mwanyonga, akirudisha kadi yake kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo Juni 27,2020 wakati wa majumuisho ya ziara ya Makamu wa Rais Kichama Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika  katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ilala Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.