6/recent/ticker-posts

Waziri asiyekuwa na Wizara maalum, Mhe Said Soud Said achukua fomu kugombea Urais kupitia Chama cha Wakulima AAFP

Waziri asiyekuwa na Wizara maalum, Mhe Said Soud Said amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia chama cha Wakulima  AAFP . Mhe Soud ameahidi kuwanunulia waandishi wa habari bajaj ikiwa atapata urais

Post a Comment

0 Comments