Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Ikiendelea Katika Uwanja wa Mao Zedong Kati ya Mlandege na Macho Manne Mchezo Huo Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0

Wapenzi wa Soka Zanzibar wakiwa katika uwanja wa Mao Zedong wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Mlandege na Machomanne, baada kuruhusiwa kuingia viwanjani na kufuata taratibu za afya za kuosha mikono kwa sabuni.Kama wanavyooneka wakiwa katika jukwaa la urusi wakifuatila mchezo huo. 
Mchezaji wa Timu ya Machomanne akijaribu kuwapita mabeki wa Timu ya Mlandege wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 0-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akimpita beki wa Timu ya Machomanne wakati mchezo wao wa Ligi Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Timu hizo zimetoka sare ya bili kufungana.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.