6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya KMKM na Selemu Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya KMKM Imeshinda Bao 3-0.

Mchezaji wa Timu ya KMKM akimpita beki wa Timu ya Selemu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 3-0. 













Post a Comment

0 Comments