Habari za Punde

Maafisa wa benki ya NMB watembelea makao makuu ya Jeshi la Zimamoto

Meneja Mwandamizi Kitengo cha Wateja binafsi na Taasisi za Ulinzi na Usalama wa NMB Makao Makuu Bwa. Emmanuel Mahodanga, akitolea ufafanuzi jambo fulani aliloulizwa kwenye kikao, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mapema leo asubuhi.
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) John Masunga, akiongea na Maafisa wa Benki ya NMB Makao Makuu waliotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo mapema leo asubuhi (HawapoPichani).
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo na Maafisa wa Benki ya NMB Makao Makuu mapema leo asubuhi.
(PichanaJeshi la ZimamotonaUokoaji)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.