MTIANIA Ugombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC Tanzania Hamad Rashid Mohamed, akizungumza na wananchi wa tawi la ADC Fimbo jimbo la Kojani Wilaya ya Wete, mara baada ya kurudisha fomu baada ya kudhaminiwa na wanachama wa mikoa mitano ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MITIANIA Ugombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC Tanzania Hamad Rashid Mohamed, akiwaonyesha wananchi wa Tawi la Fimbo jimbo la Kojani fomu ya udhamini ya wanachama 1000 wa mikoa mitano ya Zanzibar, baada ya kumkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa ADC Zanzibar Said Seif Said .(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment