Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na zawadi yake ya
Jogooalilopewa na Shaweji Mohamed Kimbwembwemkazi wa Somanga mkoani Lindi
ambaye alifurahishwa na utendaji kazi wa Mhe. Rais Magufuli wa kuwaletea
maendeleo Wananchi wanyonge
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Somanga Rehema MikidadiNgenje Shilingi Milioni 5
kwa ajili ya ukarabati wa Shule hiyo ya Msingi ya Somanga. Katika fedhahizo pia
Rais aliagizamwanafunzihuyoapewe Shilingi laki moja kutoka kwenye fedhahizo
mara baada ya kuibua kero ya Shule hiyo.
Wananchi wa
Nangulukulu wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao wakati akitokea
Masasi leo
No comments:
Post a Comment