Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein Amujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Katika Kisomo cha Dua Kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kisomo cha dua kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya, kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Alhajj Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kisomo cha dua kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya, kilichofanyika katika Msikiti wa Ujumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi "A" Ungujana (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Alhajj Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali. 
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakishiriki katika kisomo cha hitma kumuombea dua Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakishiriki katika kisomo cha hitma kumuombea dua Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk. Ali Mohamed Shein akiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, dua hiyo imefanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ya kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani)  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa kisoma cha dua kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya, kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa kisoma cha dua kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya, kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.