Habari za Punde

Vijana Kisiwani Pemba Wapata Mafunzo Kwa Njia ya Mtandao.

AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba Khatib Juma Mjaja, akifungua mafunzo ya ya Vijana kwa njia ya Mtandao kupitia ZOOM Meeting, kupitia mradi wa mafunzo ya uwongozi kwa vijana wa Wilaya ya Chake Chake, mradi huo unaoendeshwa na Jumuiya ya KUKHAWA Pemba

KATIBU wa Jumuiya ya KUKHAWA Chake Chake Pemba Hafidhi Abdi Saidi, akitoa historia fupi ya Jumuiya hiyo kwa vijana wa Wilaya ya Chake Chake, ambao wameshiriki mafunzo ya Mtandao kupitia mradi wa mafunzo ya uongozi kwa vijana wa wilaya hiyo, huko katika Ofisi za KUKHAWA Pemba
MRATIBU wa Mradi wa  mafunzo ya uongozi kwa vijana wa wilaya Chake Chake kutoka jumuiya ya KUKHAWA Pemba, Zuleikha Mulid Kheir, akitoa maelezo mafupi juu ya mradi huo kwa vijana wa Wilaya ya Chake Chake, wakati wa mafunzo kwa njia ya Mtandao 
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.