Habari za Punde

ZAECA Yaadhimisha Siku ya Rushwa Afrika

Waziri wa Nchi (OR) Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Rushwa Afrika hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ofisi  ya ZAECA Victoria Garden na kulia kwa Waziri Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuiya Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg.Mussa Haji Ali. 
Waziri wa Nchi (OR) Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman akisisitiza jambo wakati  akizungumza na Waandishi wa habari kuadhimisha Siku ya Rushwa Afrika, maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya ZAECA Victoria Garden Jijini Zanzibar. 
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Maadhimisho ya Siku ya Rushwa Afrika yaliofanyika  katika ukumbi wa Ofisi ya ZAECA Victoria Garden Jijini Zanzibar , wakati Waziri wa Nchi (OR) Utawala wa Umma na Utumishi Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman (hayupo pichani)
Mwandishi wa habari wa Star Tv Ndg.Abdalla Pandu akiuliza swali wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Rushwa Afrika, Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa ZAECA Victoria Garden Jijini Zanzibar, (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa (ZAECA)Ndg. Mussa Haji Ali, Waziri wa Nchi(OR) Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na Afisa wa ZAECA.Ndg.Makame Khamis.  
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg. Mussa Haji Ali akizungumza na kujibu maswali yalioulizwa na Waandishi wa habari Zanzibar wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Rushwa Afrika, iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya ZAECA Victoria Garden Jijini Zanzibar.  

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari Zanzibar wakifuatilia hafla yac Maadhimisho ya Siku ya Rushwa Afrika iliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya ZAECA Victoria Garden Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.