Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASHIRIKI KATIKA TAMASHA LA NGUVU YA MWANAMKE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika ukumbi na kuwasalimia Wanawake Vijana kwenye Kongamano la Tamasha la nguvu ya Mwanamke (GIRL POWER) mwaka 2020 lililofanyika leo Agost 02, 2020 katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanawake Vijana kwenye Kongamano la Tamasha la nguvu ya Mwanamke (GIRL POWER) mwaka 2020 lililofanyika leo Agost 02, 2020 katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.