Habari za Punde

MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU WATEMBELEA UJENZI WA IKULU CHAMWINO, DODOMA


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali wakipata maelezo walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwatembeza Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ikulu  Chamwino, Dodoma leo Ijumaa
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwaongoza Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa Ikulu Chamwino, Dodoma, alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitoa maelekezo na nasaha kwa mkandarasi wa Jengo la Ofisi za Ikulu Chamwino mkoani Dodoma baada ya ziara ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.