Menu

Thursday, August 27, 2020

Mgombea Urais Kupitia Cha Cha Wakulima (AFP) Mhe. Said Soud Achukua Fomu ZEC.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe Jaji Mkuu Mstaaf Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi Fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AFP) Mhe. Said Soud, alipofika Ofisi za Tume Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya uchukuaji wa Fomu.

No comments:

Post a Comment