Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe Jaji Mkuu Mstaaf Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi Fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AFP) Mhe. Said Soud, alipofika Ofisi za Tume Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya uchukuaji wa Fomu.
Muziki : Wakongwe wa Muziki Arusha Waahidi Makubwa Tanzania Samia Connect
-
Na Pamela Mollel, Arusha
Tamasha la Tanzania Samia Connect 2025 linalotarajiwa kufanyika kuanzia
Agosti 21–23, 2025 katika Viwanja vya Mgambo, Uzunguni...
39 minutes ago
No comments:
Post a Comment