RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar,
katika Kikao cha kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa
fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia
kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid
Yahya Mzee na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjengo
Mjawiri
WAZIRI
wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
akiwasilisha muktasari wa Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kwa
mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Naibu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Dkt.
Makame Ali
KATIBU
Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar. Bi. Maryam Juma
Sadala (Mabodi) akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa
fedha 2020/2021, kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
MKURUGENZI
Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa ufafanuzi wakati wa
Kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na
Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.
MKURUGENZI
Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Mussa Aboud Jumbe akitowa ufafanuzi wakati wa
Kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na
Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.
MKURUGENZI
Mkuu Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar Dr.Suleiman Shehe Mohammed
akizungumza wakati wa Kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Kilimo
Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kikiongozwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein.(hayupo pichani) akiwa ameshika kitabu cha “Ripoti ya Utafiti wa Kilimo
kwa mwaka 2019”
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, akiuliza swali wakati wa Kikao cha mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, kwa mwaka wa fedha 2020/2021,Kikaio hicho kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Katibu Kiongozi) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri
No comments:
Post a Comment