Habari za Punde

Ujenzi wa Mradi wa Jengo la Thabit Kombo Michenzani Jijini Zanzibar.

Mradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)  Ujenzi wa Jengo la Maduka ya Kisasa la Thabit Kombo Michezani Jijini Zanzibar likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi huo katika eneo la michezani Kisonge kama linavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.