Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni wa CCM Mgombea Mwenza wa Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu - Makete Mjini.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Ikonda Tandala Makete alipokuwa njiani akielekea Jimbo la Makete Mjini kwa ajili ya kuendelea na mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 21,2020.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)                   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.