Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni ya CCM Wilaya ya Msoma Vijijini Mkoani Mara.

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Bukima, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika viwanja vya Bukima, Wilayani Musoma Vijijini. 
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Vijijini,Profesa  Sospeter Muhongo,  katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kwenye viwanja vya Bukima, wilayani Musoma Vijijini Septemba 20, 2020. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)ya CCM  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.