Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Awasili Kisiwani Pemba Kuhudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni ya CCM Katika Uwanja wa Mpira wa Gombani ya Kale Chakechake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisiliana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba leo.16-9-2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba leo akitokea Unguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba leo mchana akitokea Unguja .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba leo mchana akitokea Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.