Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally baada ya kuhutubia katika Sherehe za Baraza la Maulid zilizofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 29, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Sherehe za Baraza la Maulid zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam,
Baadhi ya washiriki wa Sherehe za Baraza la Maulid wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza hilo kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaamBaadhi ya washiriki wa Sherehe za Baraza la Maulid wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza hilo kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Baadhi ya washiriki wa Sherehe za Baraza la Maulid wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza hilo kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku (wa pili kushoto) pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki katika Sherehe za Baraza la Maulid zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 29, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment