Habari za Punde

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI UWANJA WA ILULU KATIKA MANISPAA YA LINDI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Ilulu katika  Manispaa ya Lindi, 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majliwa akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, mgombea Ubunge wa CCVM katika Jimbo la Lindi Hamida Abdallah (kulia) na mgombea Udiwani wa Kata ya Mikumi, Zahra Selemani, katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ilulu katika Manispaa ya Lindi,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  akivisha kofia ya CCM, Msanii Peter Msechu katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa Ilulu katika Manispaa ya Lindi,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Ilulu katika  Manispaa ya Lindi, Oktoba 24, 2020
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.