Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi
CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakiwasili katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji Chamwino Ikulu
kwa ajili ya kupiga Kura tarehe 28 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi
CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakipiga kura ya Urais na Mbunge katika Kituo cha Kupigia Kura cha
Idara ya Maji kilichopo katika Kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma jana tarehe 28 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga kura ya Urais na Mbunge katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji kilichopo katika Kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 28 Oktoba 2020.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment