Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Mwenza wa CCM Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Nkasi alipowasili katika Uwanja wa Sabasaba Namanyere Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa kwa ajili ya kuanza mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa huo
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpongeza Kijana Raphael Kamba (15) Chipukizi Msanii wa Kizazi Kipya Mwanafunzi wa Darasa la 6 Shule ya Msingi Mbwendi Namanyere Nkasi ambae ni mlemavu wa Macho, Baada ya kukonga nyoyo za Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Namanyere kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM ulofanyika leo Octoba 09,2020. katika uwanja wa Sabasaba Namanyere Nkasi Mkoani Rukwa
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la Nkasi Kusini  Mhe. Vicent Mbogo kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, katika mkutano uliofanyika leo Octoba 09,2020 kwenye Uwanja wa Sabasaba Namanyere Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nkasi Kaskazini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Namanyere Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa 
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nkasi Kaskazini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Namanyere Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa leo Octoba 09,2020.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.