Habari za Punde

TCRA YAAHIDI KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI KWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI KIUTENDAJI

 
Mkuu wa Tcra kanda ya kaskazini Imelda Salum akisoma na kutoa maelezo kuhusu Mkataba wa huduma kwa mteja wa Tcra alipofungua mafunzo ya elimu ya mpiga kura leo katika ukumbi wa chuo cha Veta, jijini Tanga.
Baadhi wa watu wenye mahitaji maalumu, wasioona kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Tanga na Dar es salaam wakisikiliza mada zinazotolewa na wawezeshaji wa Tcra.

Mkuu wa kitengo cha kudhibiti ubora wa huduma za Tcra mako mkuu Haruni Lemanya akitoa maelezo kwa washiriki wa mafunzo hayo.

Picha zote na Hamida Kamchalla, TANGA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.