Innaa lillaahi Wainnaa Iayhi Rajiuuun Abubakar Khamis Bakar
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya ACT Maalim Abubakar Khamis Bakar, Amefariki leo alfajiri na anatarajiwa kuzikwa kuzikwa leo kuondokea nyumbani kwake Chukwani baada ya Sala ya Alasiri
No comments:
Post a Comment