Habari za Punde

WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA UFUATILIAJI WA MWENENDO WA UENDESHAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya ufuatiliaji wa mwenendo wa uendeshaji wa vyama vikuu vya Ushirika vya NCU (1984) LTD, SHIRECU (1984)LTD na KNCU (1984) LTD, kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume maalum ya ufuatiliaji wa mali za Ushirika chini, Asangye Bangu kwenye kikao na wadau wa Ushirika kwenye ukumbi wa Mkutano Hazina, jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa Ushirika kwenye ukumbi wa Mkutano Hazina, jijini Dodoma, Novemba 30, 2020. Katika Kikao cha kupokea taarifa ya ufuatiliaji wa mwenendo wa uendeshaji wa vyama vikuu vya Ushirika vya NCU (1984) LTD, SHIRECU (1984)LTD na KNCU (1984) LTD.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.