Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe Samia azungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza leo Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma. kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalim na Kulia Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mwita Waitara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza leo Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma. 

Baadhi ya Viongozi wa Menejmenti na Watumishi wa Idara ya Mazingira kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  katika kikao Kazi cha siku tatu kilichoanza leo Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.