Habari za Punde

Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Wawi watoa msaada Masjid Aisha Furaha Mbuyuni

MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Bakar Hamad Bakar wa mbele akiwa amefuatana na Mbunge wa Jimbo hilo Khamis Kassim Ali, wakikagua hodhi la kuhifadhia maji katika Masjid Aisha Furaha Mbuyuni, ambapo walikabidhi Milioni 1.6 kwa uongozi wa Masjid Aisha kwa ajili ya kujenga hodhi jengine.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Bakar Hamad Bakar katikati na Mbunge wa Jimbo la Wawi Khamis Kassim Ali wa kwanza kushoto, wakimkabidhi Mzee wa Masjid Aisha Furaha Mbuyuni Mohamed Massoud Said wa kwanza kulia shilingi Milioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa hodhi la kuhifadhia maji katika mskiti huo. .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.