Habari za Punde

Ufunguzi wa Msikiti Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya kaskazini "B" Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Msikiti Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya kaskazini "B" Unguja hafla Iliyofanyika leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (kulia) Mkuu wa Wilaya kaskazini "B" Rajab Ali Rajab na  Mwenyekiti wa Kamati ya msikiti Bw.Hamdu Haji (wa pili kulia)     .[Picha na Ikulu] 25/12/2020.

Baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi baada ya Swala ya Ijumaa na Kuufungua Msikiti Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya kaskazini "B" Unguja leo ambapo swala hiyo Iliswalishwa na Kadhi wa Wilaya ya Mjini Sheikh Othman Ame Chum.[Picha na Ikulu] 25/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kulia) wakiwa katika Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Msikiti Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya kaskazini "B" Unguja Iliyoswalishwa na Kadhi wa Wilaya ya Mjini Sheikh Othman Ame Chum baada ya ufunguzi wa msikiti huo.[Picha na Ikulu] 25/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na  Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi baada ya Swala ya Ijumaa na Kuufungua Msikiti Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya kaskazini "B" Unguja leo ambapo swala hiyo Iliswalishwa na Kadhi wa Wilaya ya Mjini Sheikh Othman Ame Chum.[Picha na Ikulu] 25/12/2020
Baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi baada ya Swala ya Ijumaa na Kuufungua Msikiti Masjid Nuru Muhammad Bumbwini Tengeza Wilaya kaskazini "B" Unguja leo ambapo swala hiyo Iliswalishwa na Kadhi wa Wilaya ya Mjini Sheikh Othman Ame Chum.[Picha na Ikulu] 25/12/2020.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.