Habari za Punde

Waziri wa nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango azungumza na wafanyabiashara

Katibu Mkuu wIzara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar akizungumza katika Mkutano na Wafanya Biashara kuhusiana na Changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuwataka kufuata Sheria zilizowekwa na kulipa kodi kama inavyotakiwa katika Mkutano uliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja. 

Baadhi ya Wafanya Biashara waliohudhuria katika Mkutano na Waziri wa Fedha Jamal Kassim Ali uliofanyika  ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja. 

Waziri wa Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali (KATIKATI) akizungumza na Wafanya Biashara kuhusiana na Changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuwataka kufuata Sheria zilizowekwa na kulipa kodi kama inavyotakiwa katika Mkutano uliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.

 Waziri wa Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali akisisitiza jambo wakati  akizungumza na Wafanya Biashara kuhusiana na Changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuwataka kufuata Sheria zilizowekwa na kulipa kodi kama inavyotakiwa katika Mkutano uliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMA/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.