Habari za Punde

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERA URATIBU NA BARAZA LA WAWAKILISHI, DKT. KHALID MOHAMMED SALUM ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Khamis Hamza Chilo (kushoto), wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dkt. Khalid Mohammed Salum alipotembelea wizara hiyo kwa mazungumzo ya ushirikiano wa mambo mbalimbali kati ya wizara hizo mbili,leo  jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akizungumza wakati wa Kikao cha Pamoja kati ya Uongozi wa wizara hiyo,ukiongozwa na Waziri George Simbachawene(katikati meza kuu) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dkt. Khalid Mohammed Salum(kulia meza kuu), wakati wa mazungumzo ya ushirikiano wa mambo mbalimbali kati ya wizara hizo mbili,leo  jijini Dodoma
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza wakati wa Kikao cha Pamoja kati ya Uongozi wa wizara hiyo,ukiongozwa na Waziri George Simbachawene(katikati meza kuu) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dkt. Khalid Mohammed Salum(kulia meza kuu), wakati wa mazungumzo ya ushirikiano wa mambo mbalimbali kati ya wizara hizo mbili,leo  jijini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dkt. Khalid Mohammed Salum (kulia), akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro baada ya kumaliza kikao cha Pamoja kilichohusisha uongozi wa juu wa wizara hiyo Pamoja na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kilichofanyika leo jijini Dodoma. Kulia ni Waziri George Simbachawene.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.