Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Afraa Bint Issa kidongochekundu kuhudhuria Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 1-1-2021 akiwa na wenyeji wake wa Masjid Afraa Bint Issa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Afraa Bint Issa Kidongochekundu leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Afraa Bint Issa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharib
No comments:
Post a Comment