Habari za Punde

Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar Lafanyika Zanzibar Kwa Matembezi Kuazia Mapinduzi Square Hadi Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanamichezo wa Mazoezi ya Viungo Zanzibar akiwa katika matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya Viungo ya pamoja (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Vijana Utamaduni na Michezo  Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita, wakishiriki katika matembezi hayo.  
Washiriki wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo kutoka Pemba, Tanzania Bara na Unguja  wakiwa katika Tamasha la Matembezi ya Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar wakipita katika barabara ya Mikunguni wakielekea Uwanja wa Amaan kumalizia matembezi hayo na kufanya mazoezi ya pamoja ya Viungo Jumla ya Vikundi 97 vimeshiriki katika mazoezi hayo leo 1-1-2021 hufanyika kila mwaka ifikapo Januari Mosi. 

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanamichezo wa Mazoezi ya Viungo Zanzibar akiwa katika matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya Viungo ya pamoja (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Vijana Utamaduni na Michezo  Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita, wakishiriki katika matembezi hayo. WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar wakishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa  Zanzibar wakipita katika Jukwaa la Viongozi katika Uwanja wa Amaan, matembezi hayo ya mazoezi ya Viungo Zanzibar  yamepokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na kujumuika katika mazoezi ya pamoja yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar

WANAMICHEZO wa Kikundi cha mazoezi ya Viungo kutoka Mkoani Dodoma wakishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakipita katika jukwaa kuu la Viongozi wakati wa kumalizia matembezi hayo na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na kujumuika katika mazoezi ya pamoja yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar

WANAMICHEZI wa Kikundi cha mazoezi ya Viungo kutoka Dar es Salaam cha Dar Jogging wakishiriki katika Tamasha la Mazoezi ya Viungo la Kitaifa Zanzibar wakipita katika jukwaa kuu la Viongozi wakati wa kumalizia matembezi hayo na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na kujumuika katika mazoezi ya pamoja yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar

WASHIRIKI  wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar Bi. Pili Mwalimu (kulia) na Bi.Kazija Othman wakimaliza matembezi ya Tamasha la Kitaifa la Mazoezi ya  Viungo Zanzibar wakipita katikja jukwaa kuu la Viongozi katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kumalizia matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani kisonge na kumalizia Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.