Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Akagua Ujenzi wa Nyumba vya Madarasa Shule ya Msingi Mitope Wilayani Ruangwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza  Margreth Mselewa (kulia) ambaye ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Mitope wilayani Rungwa kuhusu ujenzi wa vyumba vya madarasa wakati alipoitembelea shule hiyo, Februari 13, 2021.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.