Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge Bungeni jijini Dodoma, Machi 30, 2021. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo (katikati) na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki (kulia), Bungeni jijini Dodoma,
Wabunge wakiwa wamesimama kimya kwa heshima kumkumbuka aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Bungeni jijini Dodoma, Machi 3, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.