Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe Khamis Hamza Chilo Akishiriki Katika Zoezi la Usambazaji Waya wa Umeme Katika Kijiji cha Kijibwemtu

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo  akishiriki zoezi la usambazaji nyaya za umeme  katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo eneo hilo  kulikua na  changamoto ya huduma ya umeme kwa muda mrefu.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo(wapili kulia), akishuhudia zoezi la usambazaji nyaya za umeme  katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo eneo hilo kulikua na  changamoto ya huduma ya umeme kwa muda mrefu Unguja .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo(wapili kulia), akishuhudia zoezi la usambazaji nyaya za umeme  katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo eneo hilo kulikua na  changamoto ya huduma ya umeme kwa muda mrefu Unguja .
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.