Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Ameongoza Wananchi Katika Mapokezi ya Mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakiopekea Mwili wa Hayati John Pombe Magufuli uliopowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar

MAKAMANDA wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa Hayati John Pombe Magufuli  aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, baada kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, na kupelekwa Uwanja wa Amaan kwa ajili ya kuagwa na Wananchi wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Viongozi na Wananchi katika hafla ya kuupokea mwili wa Hayati John Pombe Magufuli Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar na kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majali Mama Mary Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Viongozi na Wananchi katika hafla ya kuupokea mwili wa Hayati John Pombe Magufuli Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar na kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majali Mama Mary Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.