Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Philip Mpango Azungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, leo April 14,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ofisini kwa Rais Samia Ikulu Jijini Dodoma. 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.